Main Page | See live article | Alphabetical index

Mungu ibariki Afrika

The national anthem of Tanzania

Mungu ibariki Afrika
Swahili Esperanto traduko English translation
Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.

CHORUS:
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.

CHORUS:
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.
Dio benu Afrikon
kaj gxiajn estraranojn
Sagxo, Unueco kaj
Paco, tiuj estas niaj sxildoj:
Afriko kaj gxiaj homoj.

KORUSO:
Benu Afrikon
Benu Afrikon
Benu nin, afrikajn infanojn.

Dio benu Tanzanujon
Gardu liberon kaj unuecon
de gxiaj virinoj, viroj kaj infanoj
Dio benu Tanzanujon kaj gxiajn homojn.

KORUSO:
Benu Afrikon
Benu Afrikon
Benu nin, afrikajn infanojn.
God Bless Africa.
Bless its leaders.
Wisdom Unity and
Peace are our shield:
Africa and its people.

CHORUS:
Bless Africa,
Bless Africa,
Bless us, the children of Africa.

God Bless Tanzania.
Grant eternal Freedom and Unity
To its women, men and children.
God Bless Tanzania and its People.

CHORUS:
Bless Tanzania,
Bless Tanzania,
Bless us, the children of Tanzania.
www.vessella.it